CHAMA CHA KITAIFA CHA BIASHARA CHAUNGA MKONO UJENZI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU KISAUNI MOMBASA

Chama cha kitaifa cha biashara na viwanda kimeunga mkono ujenzi wa nyumba za kisasa na za bei nafuu katika eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa wakisema kuwa hatua hiyo itapandisha hadhi eneo hilo
Wawekezaji wa ujenzi wa nyumba sawa na hiyo wametakiwa kutumia mfumo wa kisasa.
Imetayarishwa na Janice Marete