UPINZANI WAMPUUZA RUTO
Muungano wa upinzani nchini umepuzilia mbali kauli ya rais William Ruto kwamba hauna mwelekeo wa kisiasa, ukisema lengo lao ni kutwaa uongozi wa taifa hili kupitia uchaguzi mkuu ujao.
Wakiongozwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, viongozi wa upinzani wamesema kuwa kauli za rais Ruto zinatokana na mapokezi ya kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka nyumbani kwa Waziri mkuu wa zamani marehemu Raila Odinga.
Aidha, wamepinga uwezekano wa wenzao kujiunga na serikali.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































