#Local News

RAIS RUTO AENDELEA KUJITETEA

Mradi wa nyumba za bei nafuu utawapandisha hadhi wakenya wanaoishi katika mitaa duni na kuwapeleka katika nyumba za kisasa.

Ndio kauli ya Rais William Ruto ambaye ameendelea kutetea mradi huo licha ya ukosoaji kwamba mradi huo unatumiwa kufuja fedha.

Aidha, Rais ametetea ubomoaji unaoendelezwa na serikali ya kaunti ya Nairobi dhidi ya wanaokwepa kulipa ushuru.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RAIS RUTO AENDELEA KUJITETEA

UPINZANI WAPINGA ‘MIRADI NDANI YA MRADI’

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *