SERIKALI KUDHIBITI ZIARA ZA MAWAZIRI
Serikali imezindua mfumo wa kidijitali wa usimamizi wa safari za nje za maafisa wa serikali kaitka juhudi za kuhakikisha usafiri unaowahusisha mawaziri na maafisa wengine wakuu katika serikali unadhibitiwa na kupigwa darubini na afisi ya utumishi wa umma.
Naibu rais Rigathi Gachagua akizungumza kwenye hafla hiyo amesema kuwa mfumo huo utadhibiti utumizi mbaya wa pesa za umma.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































