#Sports

ADAK YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MADAWA

Zaidi ya wanariadha 100 kutoka kwa timu  ya KCB walipitia mafunzo ya kukabiliana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli kutoka Shirika la Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kulevya nchini (ADAK) katika Klabu ya Michezo ya KCB, Ruaraka hapoa jana.

Wanariadha hao, waliotoka katika taaluma tofauti – raga, mpira wa miguu, chess, na voliboli walichukuliwa kupitia Wakala wa Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani (WADA) wa mwaka wa 2024 (WADA) uliopiga marufuku dawa za kulevya katika jitihada za kuimarisha michezo safi nchini.

ADAK, inayomilikiwa na Wizara ya Michezo, imepewa jukumu la kutekeleza vita dhidi ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli michezoni.

Mkuu wa Masuala ya Ushirika na Udhibiti wa KCB Judith-Sidi Odhiambo ambaye pia ni mlezi wa Timu ya Mpira wa Wavu ya Wanawake ya KCB alibainisha kwamba wanariadha lazima waonyeshe uwanja sawa wanaposhiriki mashindano tofauti.

Imetayarishwa na Nelson Andati

ADAK YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MADAWA

HARAMBEE STARS WASHUKA KWA ORODHA YA FIFA

ADAK YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MADAWA

WAHALIFU WAKULIMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *