#uncategorized

SENETA LEDAMA ASEMA KUONDOLEWA MADARAKANI KWA MWANGAZA KUWA KISIASA

Seneta wa Narok Ledam Olekina amesema kuwa masaibu yanayomkumba gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza yanatokana na vita vya kisiasa tu.

Olekina alibainisha kuwa kesi za kuondolewa madarakani nchini Kenya, zikiwemo za Mwangaza, hazijawahi kushughulikiwa kisheria na badala yake zimekuwa kelele za kisiasa

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *