UPA YAONYESHA UDA KIVUMBI NYAMIRA
Chama cha UPA kinachohusishwa na aliyekuwa Waziri wa usalama Fred Matiang’i, kimeonekana kudidimiza umaarufu wa UDA katika kaunti ya Nyamira, kufuatia ushindi wa wagombeaji wa UPA katika chaguzi 3 za uwakilishi wadi katika kaunti hiyo.
Jeremiah Ongaro wa UPA amembwaga Francis Amenya wa UDA kwa kura 3,507 dhidi ya 2,292, hali sawa ikishuhidiwa katika wadi ya Nyamaia
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































