#Local News

WAKAZI TURKANA KUKOSA HUDUMA ZA MAABARA

Huduma za maabara katika hospitali za umma kwenye kaunti ya Turkana zimesambaratika kufuatia mgomo wa maafisa wa maabara wanaohudumu katika wizara ya afya kwenye kaunti hiyo wanaolalamikia mazingira magumu ya kazi.

Wakiongozwa na mwenyekiti wa muungano wao tawi la Turkana Moses Emoit, maafisa hao wamesema hawatarejea kazini hadi hali itakaporekebishwa, ikiwemo kuongeza idadi ya maafisa wa maabara.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAKAZI TURKANA KUKOSA HUDUMA ZA MAABARA

SERIKALI YATANGAZA AFUENI MAU

WAKAZI TURKANA KUKOSA HUDUMA ZA MAABARA

KENYA YAONDOA IMF KWENYE BAJETI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *