RUTO KUHUTUBIA TAIFA
Rais William Ruto ameratibiwa kulihutubia taifa majira ya kumi jioni katika Ikulu ya Nairobi.
Hotuba yake inajiri yapa wiki moja baada kulivunja barala lake la mawaziri.
Aidha, Wakenya wanampa shinikizo kuwatimua makatibu wote wakuu.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































