#Business

KRA KUWEKA KAMERA ZA MWILI KUZUIA HONGO FORODHANI

Maafisa wa KRA wataanza kuvaa kamera za miili kama sehemu ya mpango mpya wa kukabiliana na ufisadi unaolenga kudhibiti hongo na kula njama miongoni mwa wafanyikazi.

Kamera za kuvaliwa mwilini zitatumiwa kimsingi na maafisa katika Idara ya Forodha na Udhibiti wa Mipaka.

Imetayarishwa na Maurine Amwayi

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *