#Sports

HUSSEIN MOHAMMED ASEMA FKF IMEPIGA HATUA KWA MIEZI SITA AKIWA UONGOZINI

Rais wa Shirikisho la Soka la Kenya Hussein Mohammed ameshughulikia wasiwasi uliokua katika kipindi cha miezi 6 ya kwanza madarakani. Hussein amewahakikishia Wakenya kwamba shirikisho hilo linafanya kila juhudi kukuza na kuendeleza mchezo huo kwa ubora wake.

Alieleza kuwa FKF kwa sasa inatumia ada za maendeleo za FIFA na usaidizi kutoka kwa Wizara ya Michezo ili kulipa madeni yaliyolimbikizwa, ambayo sasa yamefikia Ksh600m na malipo yaliyoachwa na wasimamizi wa awali.

Hussein wakati huo huo alikanusha uvumi kwamba kocha wa Harambee Starlets, Beldine Odemba yuko njiani kuondoka, akisisitiza kwamba bado anaisimamia timu ya taifa ya Uganda na Tanzania,N pia itaikaribisha timu ya taifa ya Kenya. 2025, akiongeza kuwa maandalizi yako mbioni kufanikisha onyesho la bara hili.

Imetayrishwa na Nelson Andati

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *