#Local News

REKODI MPYA YA AKIBA YA DOLA NCHINI, RUTO

Kwa mara ya kwanza kabisa, Kenya imefanikiwa kuhifadhi akiba za dola bilioni 10.3 kwenye akiba zake, hatua hiyo ikiashiria kuendelea kwa ukuaji wa uchumu wa nchi.

Haya ni kwa mujibu wa Rais William Ruto, akitaja kiwango hicho cha hifadhi kuwa chanzo cha juhudi za Pamoja katika kuzingatia ushauri wa wataalamu wa masuala yaa uchumi nchini.

Hifadhi hiyo hutumiwa kulipa na kuwezesha malipo na shughuli kwenye uchumi na kudhibiti thamani ya shilingi ya Kenya dhidi ya sarafu za kigeni.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

REKODI MPYA YA AKIBA YA DOLA NCHINI, RUTO

MPANGO WA SHA KUBORESHWA

REKODI MPYA YA AKIBA YA DOLA NCHINI, RUTO

WABUNGE KENYA, UGANDA CHINI YA SHINIKIZO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *