LIVERPOOL YAONDOLEWA KWENYE FA CUP NA PLYMOUTH
Liverpool ilitolewa kwenye FA Cup kwa kichapo cha 1-0 dhidi ya Plymouth, timu inayoburuza mkia kwenye Championship. Ryan Hardie alifunga penalti pekee, huku kocha Arne Slot akilipa gharama ya kupumzisha nyota wake.
Licha ya kuwa na Luis Diaz na Diogo Jota, Liverpool walishindwa kutamba. Plymouth walipambana kwa ujasiri, huku kipa Connor.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































