RAILA NDIYE KIONGOZI PEKEE WA AZIMIO

Mwakilishi wa kike kaunti ya Busia Catrhine Omanyo amewasuta viongozi wanaotishia kumgatua mamlakani kinara wa mrengo wa azimio Raila Odinga kwa madai kwamba njama hiyo itahujumu utendakazi wa mrengo huo.
Omanyo ameongeza kuwa Odinga amekuwa akishikilia mrengo huo kwa muda mrefu na kwamba kumbandua uongozini wa mrengo huo ni kumaliza upinzani.
Imetayarishwa na Janice Marete