#Local News

POLISI WALAUMIWA KWA KUVURUGA MAANDAMANO

Wanaharakari na familia za waathiriwa wa maandamano yaliyoongozwa na vijana wa kizazi cha Gen mwaka jana wameikosoa idara ya polisi kwa madai ya kutumia nguvu kupita kiasi na kuwakamata wenzao hapo jana walipokuwa wakifanya maandamano ya amani kuelekea Ikulu ya Nairobi.

Polisi walitumia vitoza machozi kuwatawanya waandamanaji na kukamata makumi wengine, waliokuwa wakishinikiza kupewa fidia na serikali, wakisema wameshindwa kurejelea shughuli zao za kila siku.

Kwa mujibu wa polisi, maandamano ya jana hayakuwa na kibali.

Imetayarishiwa na Antony Nyongesa

POLISI WALAUMIWA KWA KUVURUGA MAANDAMANO

WAKENYA WALIOKWAMA MYANMAR WAREJESHWA

POLISI WALAUMIWA KWA KUVURUGA MAANDAMANO

POLICE FC WAPOTEZA FURSA YA UONGOZI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *