#Local News

UPASUAJI WA MIILI YA WANAFUZI 21 WALIOAGA KWA MKASA WA MOTO HUKO NYERI WAANZA LEO

Mwanapatholojia mkuu wa serikali Johansen Oduor anatarajiwa hii leo kuongoza shughuli ya upasuaji wa miili ya wanafunzi walioteketea katika mkasa wa moto shule moja eneo la kieni kaunti ya nyeri.

Zoezi hilo lilitarajiwa kungo nanga hapo jana lakini shughuli hiyo ikakatizwa ili kutoa nafasi kwa wazazi na familia za waathiriwa kutazama miili hiyo.

Imetayarishwa na Janice Marete

UPASUAJI WA MIILI YA WANAFUZI 21 WALIOAGA KWA MKASA WA MOTO HUKO NYERI WAANZA LEO

UKAME WA KUKATA TAMAA KWA WATUMISHI WA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *