WALIMU WA JSS KUPATA AJIRA MWAKA UJAO
Katibu wa wizara ya elimu, Julius Bitok, amewahakikishia walimu wa JSS waliokuwa chini ya kandarasi kwamba serikali itawapa ajira ya kudumu kunzia mwaka ujao wa kifedha.
Bitok amewataka walimu hao kuwa na subira akisema kwa serikali itashughulikia matakwa yao.
Imewtayarishwa na Jones Koikai
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































