#Local News

WAKENYA HAWATAKI MAHAKAMA, WADAU

Wakenya asilimia 10 pekee ndio wanaosaka haki mahakamani huku asilimia 19 ya wakenya wakisusia huduma za mahakama, idara hiyo sasa ikitakiwa kubadilisha mifumo ili kuwahimiza wakenya zaidi kurejesha uaminifu kwa idara hiyo.

Wakizungumza kwenye ufunguzi wa kongamano la majaji na mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Nairobi, Naibu Rais Kithure Kindiki na jaji Mkuu Martha Koome, wamesisitiza haja ya mahakama kusaka njia mbadala za kuwahudumia wakenya na kurahisisha haki kwa watu wengi zaidi.

Kwa mujibu wa mahakama, wakenya hawaamini mahakama.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAKENYA HAWATAKI MAHAKAMA, WADAU

MURKOMEN AFICHUA CHANGAMOTO ZA USALAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *