#Local News

KENYA MBIONI KUIMARISHA KILIMO

Katika juhudi za kuimarisha utoshelevu wa chakula, serikali ya Kenya imesema iko tayari kushirikiana na serikali ya Uholanzi ili kupiga jeki sekta ya kilimo nchini.

Katika kikao na wawekezaji Zaidi ya 50 wa Uholanzi waliomtembelea jijini Nairobi, katibu katika wizara ya biashara na viwanda Juma Mukhwana, amesema baadhi ya juhudi hizo ni ujenzi wa vituo vya kilimo katika kila kaunti.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KENYA MBIONI KUIMARISHA KILIMO

KENYA, UHOLANZI ZASHIRIKIANA

KENYA MBIONI KUIMARISHA KILIMO

UCHUKUZI JOGOO WATATIZWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *