#Business #Local News

RUTO: SIASA MBAYA IMETUGHARIMU KAMA TAIFA

Rais William Ruto amesema kwamba Kenya ina uwezo wa kufanya mageuzi katika sekta mbali mbali humu nchini iwapo viongozi wa humu nchini watakoma kuingiza siasa katika masuala ya kimsingi yanayomwathiri mwananchi.

Akizungumza katika jimbo la Atlanta Georgia nchini Marekani, Ruto amesema licha ya kenya kuorodheshwa miongoni mwa mataifa bora duniani, siasa duni zimelemaza maendeleo.

Aidha, Rais amesema analenga kubuni nafasi za ajira kwa vijana wa hapa nchini katika mataifa ya kigeni kigeni

Hata hivyo, Rais ameapa kutolegeza kamba katika utozaji ushuru.

Imetayarishwa na: Antony Nyongesa

BEI YA MAFUTA KUONGEZEKA KWA 80%

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *