CHELSEA WASAKA USHINDI WA KWANZA
Ligi kuu ya Uingereza EPL inaingia wiki ya pili wikendi hii, mechi ya kwanza ikiwa ni debi ya West London itakayowakutanisha Chelsea na Westham saa nne kamili leo usiku.
Chelsea waliofungua msimu kwa sare ya kutofungana dhidi ya Crystal Palace, watatafuta ushindi wao wa kwanza wa msimu dhidi ya the hummers waliofungua msimu kwa kichapo cha mabao 3:0 dhidi ya limbukeni Sunderland wikendi iliyopita.
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































