#Local News

HAYAKUWA MAANDAMANO BALI MAPINDUZI- MURKOMEN

Maandamano yaliyofanywa Jumatano wiki hii yalilenga kuipindua serikali na wala hayakuwa ya kushinikiza haki kwa waathiriwa wa maandamano sawa na hayo ya mwaka jana.

Ni kauli ya waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen, akishutumu maandamano hayo na kuwaamuru polisi kuwapiga risasi watakaoonekana kutishia Maisha yao vituo vya polisi.

Akiwahutubia wanahabari, Murkomen amedai kuwa waliopanga maandamano hayo walikuwa na nia ya kuharibu mali na kupora biashara za wanasiasa wanaogemea mrengo wa serikali.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

HAYAKUWA MAANDAMANO BALI MAPINDUZI- MURKOMEN

25 WAKAMATWA, BUNDUKI 5 ZAIBWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *