WAZIRI WA ELIMU ATAMIA KUBADILI MFUMO WA AJIRA KATIKA SHULE ZA UMMA

Wizara ya elimu ninawazia kubadili jinsi ya kuwaajiri maafisa waasifu katika shule za umma ili kukabili ufisadi na matumizi mabaya ya raslimali za umma.
Kwa mujibu wa Waziri wa elimu Ezekiel Machogu hali ya sasa ambapo wahasifu walioajiriwa na bodi za usimamizi wa shule wanatoa mwanya wa ufisadi na ubathirifu wa mali ya umma.
Imetayarishwa na Janice Marete