AMRI YA RUTO KWA POLISI
Rais William Ruto amsalimu amri na kuamuru vikosi vya usalama kuachia huru wakenya wote waliokamatwa wakati wa maandamano kutokana na shinikizo za Wakenya.
Katika taarifa kwa Wakenya kutoka Ikulu ya Nairobi, Ruto aidha ameamuru mashtaka yote dhidi ya waandamanaji kuondolewa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































