#uncategorized

DEREVA NA MAKANGA WAKE WATAFUTWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UMILIKI WA MISOKOTO 60 YA BANGI

Maafisa wa polisi wameanzisha msako wa kuwatafuta na kuwakamatga dereva mmoja na makanga wake kufuatia madai ya misokoto 60 ya bangi yenye dhamani ya shilingi milioni 3 waliyoishusha kutoka kwa lori walilokujwa nayo kando ya barabara eneo la ngorika kauti ya Nyandarua.


Inaarifiwa kuwa wawili hao walikuwa wakitorokea polisi kabla ya kushusha shehena hiyo na kuiacha kando ya barabara.

NANI ALIYEMUUA MBUNGE WA ZAMANI WA KABETE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *