WABUNGE WAKASHIFU KUPUNGUZWA KWA BAJETI YA ARTHI
Wabunge wamekashifu kupunguzwa kwa bajeti ya wizara ya arthi na tume ya kitaifa ya arthi kwa madai kwamba shughuli za wizara hiyo zitasimama ikiwa itaithinishwa.
Wajumbe wa kamati hiyo wamesema kuwa kupunguzwa kwa bajeti hiyo kutalemaza shughuli zote wakitoa mfano na fidia ya madeni yote ambayo hayajalipwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































