#Football #Sports

NAIROBI UNITED YASHINDA 6-2 DHIDI YA MOMBASA STARS

Nairobi United iliendelea na harakati za kutwaa ubingwa wa National Super League kwa kushinda Mombasa Stars 6-2 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Dandora.

Ushindi huo ulifanya Nairobi United kuongeza uongozi wao kileleni kwa pointi 52, tatu mbele ya APS Bomet.

Mombasa Stars, wakiwa na pointi 19 pekee, walipata sare ya 2-2 baada ya kufungwa penati na Rogers Okumu, lakini Nairobi United walijibu kwa mabao kutoka kwa Isaac Omweri, Duncan Omala, Michael Jairoh, na Michael Karamor.

Kocha wa Mombasa Stars, Hussein Mohammed, alilalamikia uchovu wa wachezaji wake.

Imetayarishwa na Janice Marete

NAIROBI UNITED YASHINDA 6-2 DHIDI YA MOMBASA STARS

LIVERPOOL YAPOTEZA 3-2 DHIDI YA FULHAM

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *