RAIS RUTO ATEUA WAZIRI 11

Rais William Ruto ameliteua baraza jipya la mawaziri katika awamu ya kwanza, ambalo litakuwa na mawaziri 11 kabla ya awamu ya pili kutangazwa.
Hii hapa ni orodha ya mawaziri hao:
Kithure Kindiki – Usalama wa kitaifa
Dr Debra Mulongo Barasa – Afya
Alice Wahome – Ardhi
Aden Duale – Ulinzi
Davis Chirchir – Uchukuzi
Rebecca Miano – Mwanasheria mkuu
Soipan Tuya- Mazingira
Julius Migosi- Elimu
Eric Muriithi – Maji
Dr Margaret Ndungu- Habari na teknolojia
Andrew Karanja – Kilimo
Imetayarishwa na Antony Nyongesa