#Local News

CHIRCHIR: HAKUNA ARDHI HURU KWA ADANI

Waziri wa Uchukuzi Davis Chirchir amethibitisha kuwa serikali ilikataa pendekezo la kampuni ya India, Adani Airport Holdings Ltd, la kununua ekari 30 za ardhi karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa ajili ya mali isiyoweza kuhamishwa na maendeleo ya kibiashara.

Akiwa mbele ya Kamati ya Seneti ya Barabara na Uchukuzi siku Chirchir ameeleza kuwa katika pendekezo lake, kampuni ya Adani iliomba ekari 30 za ardhi kujenga ‘mji wa uwanja wa ndege’ au City Side Development ambao utajumuisha vifaa vya kisasa vya burudani.

Kulingana na Adani, ufanisi wa jiji hilo ungeimarisha utambulisho wa JKIA na pia kutoa huduma kwa Wakenya kwa jumla.

Imetayarishwa na Janice Marete

CHIRCHIR: HAKUNA ARDHI HURU KWA ADANI

KAIMU INSPEKTA JENERALI WA POLISI GILBERT MASENGELI

CHIRCHIR: HAKUNA ARDHI HURU KWA ADANI

AL ALHY WAIADHIBU GOR MAHIA MABAO 3-0

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *