#Local News

KAUNTI YA NAIROBI KUPOKEA NYONGEZA YA MAJI ZAIDI YA LITA MILIONI 100

Uhaba wa maji katika kaunti ya Nairobi unatarajiwa kupungua kwa kiasi kikubwa kufuatia kukamilika kwa mradi wa northern Water collector tunnel.

Wakaazi wa kaunti ya Nairobi wanatazamiwa kupokea lita milioni 100 000 40 za maji kutoka kwa mradi huo ambao unachukuliwa kuwa na umuhimu mkubwa kwa wakaazi ambao wamekuwa wakishuhudia uhaba wa maji kwa mda mrefu.

Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amthibitisha kuwa wahadisi kwa sasa wako kwenye hatua za majaribio ya mwisho ya ubora kabla ya kutolewa kikamilifu katika mtandao a usam basaji wa maji katika jiji la Nairobi.

Imetayarishwa na Janice Marete

KAUNTI YA NAIROBI KUPOKEA NYONGEZA YA MAJI ZAIDI YA LITA MILIONI 100

MIA MBILI YA MAUTI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *