JALANG’O AOGOPA ‘MTEGO’

Huku hayo yakijri, mbunge wa Lang’ata Felix Odiwour maarufu kama jalang’o, ametaja hatua ya SRC kutaka kuwaongeza mishshara wafanyakazi wa ngazi ya juu serikalini kama mtego hasa kutokana na hali ngumu ya kiuchumi.
Kupitia mitandao ya kijamii, Jalang’o amesema atakataa nyongeza hiyo.
Hatua ya SRC tayari imeibua hisia kali miongoni mwa Wakenya, nyongeza ya mishahara ikiwa ni mojawapo ya malalamishi yaliyoibuliwa wakati wa maandamano.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa