MWANAHABARI APIGWA RISASI AKITAFUTA HABARI
Baraza la wanahabari MCK na chama cha wanasheria LSK zimeshtumu kisa ambapo mwanahabari mmoja alipigwa risasi akiwa kazini wakati wa maandamano kaunti ya Nakuru.
MCK na LKSK zimesikitishwa na jinsi mwanahabari huyoi alivyopigwa risasi licha ya kuwa alikuwa amevalia sare rasmi za wanahabari huklu LSK ikiahidi kuhakikisha mwanahabari huyo anapata haki.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































