#Local News

MBUNGE WA NAMBALE GEOFFREY MULANYA AWASUTA MATAPELI WA KIWANDA CHA SUKARI

Mbunge wa nambale Geoffrey Mulanya amewasuta baadhi ya watu wanaokisiwa kuwa matapeli katika sekta ya miwa eneo bunge lake kwa lengo la kujinufaisha kupitia swala la kufufua kampuni ya miwa ya Busia growers Company iboko iliyofilisika miaka 10 iliyopita.

Akizungumza katika shule ya upili ya st.Marys nambale,Mulama amesema tayari amekutana na wakurugenzi wa zamani wa kampuni hiyo   kutoka kaunti ya Busia na Siaya kuweka mikkakati katika juhudi za kufufua kampuni hiyo iliyokuwa ikiwahudumia wakulima wa miwa wa kaunti ya Busia na siaya.

Imetayarishwa na: Janice Marete

NANI KAAMUUA MWALIMU NDEDA?

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *