MABADILIKO YA GHAFLA YAHOFIWA KUATHIRI BIASHARA
Mabadiliko ya sera yasiyotabirika nchini Kenya huenda yakapunguzaimani ya wawekezaji licha ya kuwepo kwa masoko yenye nguvu kifedha na
rufaa ya kikanda.
Mwenyekiti wa chama utoaji mtaji kwa wawekezaji wa kibinafsi David Owino
amesema kuwa ijapokuwa Afrika Mashariki inasalia kuwa pahali penye
kuwavutia wawekezaji wenye mtaji binafsi, kanuni za kighafla zimetishia
kuondoa uaminifu wa wawekazaji .
Aidha, Owino amesisitiza kuwa serikali inafaa kuimarisha kanuni ili
kuwahakikishia wawekezaji hasa wa kigeni kuweka kipaumbele uwekezaji
wao, mbali na mazingira tulivu.
Imetayarishwa na Maureen Amwayi
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































