WAWANIAJI WAJITETEA WAKILENGA IEBC

Ukosefu wa uaminifu wa wakenya katika tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kuendesha uchaguzi huru na wa haki ndilo suala linalofaa kuangaziwa kwa dharura.
Haya ni kwa mujibu wa Erastus Ethekon, anayewania uwenyekiti wa tume hiyo akizungumza akiwa mbele ya jopokazi linaloendesha mahojiano ya wawaniaji wa wadhifa huo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa