MWANAMME AMUUA NDUGUYE HOMABAY
Polisi huko Homabay wanamsaka mwanamme anayedaiwa kumuua nduguye katika kijiji cha Ringa baada yao kutofautiana.
Mwili wa Lawrence Obonyo ulipatikana baada yao mapigano kuzuka kati yao kuhusu umiliki wa ardhi.
Mshukiwa anadaiwa kuelekea mafichoni baada ya kutishiwa na umati wa wenyeji waliotaka kumwangamiza.
Imetayarishwa na Maureen Mukhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































