KILIMO CHA MIWA KUWAFAIDI WAKULIMA
Wakaazi wa eneo la magharibi na maeneo mengine yanayokuza zao la miwa wataanza kufaidi na zao hilo baada ya rais kuelezea mpango wa kuboresha sekta ya miwa.
Akiongea kwenye mkao na wabunge kutoka kaunti za Vihiga Kakamega Bungoma Trans nzoia na Busia rais William ruto anasema wanaekeza katika marekebisho umuhimu ikiwemo kuimarisha usimamizi wa sekta hiyo.
Usemi wake unajiri majuma kadhaa baada ya kuongezwa kwa kiwango cha fedha zinazolipwa kwa tani moja ya miwa na kufikia shilingi 5500.
Imetayarishwa na Maureen Makhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































