RAIS AZURU EMBAKASI
Rais William Ruto amezidi kuwapuuzilia mbali wapinzani wake anaosema hawana sera zozote kwa wakenya na lengo lao pekee na kutaka kumwondoa mamlakani.
Akiongea huko Embakasi Mashariki ambako ameshuhudia miradi tofauti ya ujenzi wa barabara rais ameelezea mpangilio alio nao kuhakikisha kuwa vijana wanapata ajira.
Imetayarishwa na Maureen Muhkobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































