SALASYA ATAKA MIRADI ILIYOKWAMA IKAMILISHWE
Mbunge wa mumias Mashariki Peter Salasya ametoa wito kwa serikali ya kitaifa kuweka mikakati ya kukwamua miradi ambayo imekwama katika kaunti ya kakamega na kuhakikisha imekamilika kwa wakati.
Imetayarishwa na Janice Marete.
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































