#Local News

WAMATANGI AHUSISHA TAARIFA ZA VIFO NA SIASA

Serikali ya kaunti ya Kiambu imepuzilia mbali taarifa kuhusu vifo vya Watoto katika hospitali za kaunti hiyo kutokana na mgomo wa madaktari, ikizitaja taarifa hizo kuwa zilizochochewa kisiasa.

Kulingana na gavana Kimani Wamatangi, taraifa hizo zinaenezwa na viongozi wa kaunti hiyo baada yake kuwazuia kunyakua ardhi ya umma na kufuja fedha umma kupitia tenda.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *