#Sports

MAHANGAIKO YA MAFURIKO TRANS NZOIA

Familia zisizopungua 100 zinaendelea kukadiria hasara huku zikililia msaada baada ya kuachwa bila makao katika kaunti ya Trans Nzoia kufuatia mto Sabwani kuvunja kingo zake kutokana na mvua kubwa.

Familia hizo zimeachwa bila makao, huku mazao yao mashambani yakisombwa na mafuriko hayo mbali na shughuli za usafiri kutatizika.

Serikali imewataka waathiriwa kuhamia maeneo salama.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAHANGAIKO YA MAFURIKO TRANS NZOIA

MZOZO WA MIGINGO WAPATA MWAFAKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *