KUPPET YATAKA KUREGESHWA KWA BIMA YA MATIBABU

Chama cha walimu Kuppet kimetoa wito wa kuregeshwa kwa bima ya matibabu kwa wanachama wake
Kwa mujibu wa kaimu katibu mkuu wa KUPPET Moses Thurima wamekuwa wakipokea malalamiko kutoka kwa wanachama wao kuhusu bima hiyo.
Ameongeza kuwa walimu wanaweza tu kupata huduma zinazotafutwa kutoka kwa hosipitali za umma ambazo mara nyingi hazina vifaa.
Imetayarishwa na Janice Marete