#Local News

WANAFUNZI WA LITEIN WARUDISHWA NYUMBANI

Wanafunzi wa Shule ya Litein Wamerudishwa tena nyumbani baada ya kuonyesha dalili za vurugu baada ya kugundua kuwa mwalimu mkuu wa shule bado yupo

Hii ni baada ya shule hiyo kufungwa hivi majuzi kutokana na vurugu za wanafunzi ambayo ilisababisha hasara kubwa shuleni humo huku wazazi wakisema hawatagharamia ujenzi katika shule baada ya kutofautiana na bodi ya shule hiyo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *