#Football #Sports

MCCARTHY AIONA FIFA SERIES KUWA JARIBIO MUHIMU KWA HARAMBEE STARS

Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, amesema mashindano ya Fifa Series yatakayofanyika Kigali, Rwanda, yatakuwa jukwaa muhimu la kupima kikosi chake kuelekea Mataifa ya Afrika ya mwaka 2027.

McCarthy amesema mashindano hayo yanatoa fursa adimu ya kutathmini wachezaji na mikakati dhidi ya wapinzani wa kimataifa.

Harambee Stars wataanza kampeni yao kwa mechi dhidi ya Estonia Machi 27 katika Uwanja wa Amahoro Matokeo ya mechi hiyo yataamua iwapo watakutana na wenyeji Rwanda au Grenada katika mchezo unaofuata.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

MCCARTHY AIONA FIFA SERIES KUWA JARIBIO MUHIMU KWA HARAMBEE STARS

MWAKILISHI WA WADI KALIMONI AVAMIWA

MCCARTHY AIONA FIFA SERIES KUWA JARIBIO MUHIMU KWA HARAMBEE STARS

KANYI AIAMINI HARAMBEE STARLETS WAFCON

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *