#Football #Sports

ENZO MARESCA ADOKEZA MATUMAINI YAKE KUWA SANCHO ATASAIDIA CHELSEA KUTWAA MATAJI

Kocha wa timu ya chelsea Enzo Maresca anaamini ya kuwa kiungo mshambulizi Jadon Sancho ana uwezo wa kusaidia timu ya Chelsea kutwaa mataji mengi msimu huu.

Enzo ana matumaini na mchezaji huyo ambaye alitokea klabu ya Manchester United, vile vile ameongeza kuwa Sancho tayari amedhihirisha kupitia mazoezi kuwa ataingiana na mbinu yao ya uchezaji.

Winga huyo wa uingereza aidha anatumai uwepo wake kwenye kikosi cha chelsea utaimarisha makali ya ushabuliaji hasaa jumamosi, 21 septemba, wakati timu hiyo itakuwa ikisafiri hadi west ham kwenye ligi ya uingereza.

Chelsea kwa sasa iko katika nafasi ya nane na pointi saba baada ya kuicharaza timu ya Bournemouth bao 1-0.

Imetayarishwa na Kennedy Osoro

ENZO MARESCA ADOKEZA MATUMAINI YAKE KUWA SANCHO ATASAIDIA CHELSEA KUTWAA MATAJI

TIMU YA SHABANA WAMEBORESHA MUUNDO WA BASI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *