POLISI WACHUNGUZA MAUAJI YA MWANAMKE AMBAYE MWILI WAKE UMEPATIKANA GLOBE CINEMA

Polisi wanachunguza kisa ambapo mwili wa mwanamke mmoja umepatikana katika eneo la Globe Cinema mapema leo.
Inaaminika kwamba mwili huo ulipatikana bila nguo ulisombwa na maji ya mto Nairobi.
Kamanda wa polisi wa kituo cha central Doris Kimeli, anasema mwili huo umeondolewa na kupelekwa katika hifadhi ya maiti ya city.
Imetayarishwa na: Janice Marete.