#uncategorized

WAKULIMA KITALE WAPANGA FOLENI NDEFU NCPB KUTOKANA NA UHABA WA MBOLEA.

Foleni ndefu zimeshuhudiwa katika bodi ya kitaifa ya nafaka na mazao NCPB mjini kitale huku wakulima wakilalamikia ukosefu wa mbolea ya kunyuza mahindi.


Baadhi ya wakulima wakisema kwamba wamegharamika kusafiri kutoka mashinani na kupiga kambi kwa zaidi ya wiki mbili bila kupata mbolea hiyo licha ya kulipia kwenye njia ya kieletroniki.


Isaac Nyakundi ambaye pia ni mkulima amesema kuwa mahindi yamenawiri na kwamba muda wa kunyunyiza mbolea unayoyoma akihofia kukadiria hasara mwakani.

Imetayarishwa na: Janice Marete

WAPI PESA YA JSS?

ANC YAPINGA TAARIFA ZA KUVUNJWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *