SENETA ONYONKA; NAJUA NINACHOKISEMA
Seneta wa kisii Richard Onyoka amerejelea matamshi yake kwamba serikali inapanga kuuza uwanja wa kimataifa wa Ndege JKIA muda mfupi baada ya rais william Ruto kukanusha madai hayo.
Onyonka amepuuzilia mbali matamshi ya rais william Ruto huku akidai kuwa ana sababu za kusisitiza madai hayo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































