WABUNGE WAELEZEA IMANI YAO KWA NAIBU WA RAIS MTEULE KITHURE KINDIKI KATIKA JUHUDI ZA KUUNGANISHA TAIFA

Wabunge wa bunge la kitaifa wakiongozwa na mbunge wa Langata Felix Oduor wameeleza matumaini yao kwa naibu war ais mteule kwamba ataunganisha taifa hili.
Wabunge hao akiwemo mbunge wa Dagoret kusini John Kiarie na Antony Oluoch wa mathare kaskazini wameeleza kurithishwa kwao na hatua ya rais william Ruto kumteua Kindiki kama naibu wake.
Imetayarishwa na Janice Marete