KANJA AWATAKA WAANDAMANAJI KUJITENGA NA MAENEO YALIYO CHINI YA ULINZI
Idara ya polisi imewatahadharisha wakenya watakaoshiriki maandamano hapo kesho kujitenga na maeneo yaliyo chini ya ulinzi.
Katika mkao na wanahabari akiwa ameandamana na wakuu wengine wa usalama Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja anasema polisi watazingatia sheria watakapotekeleza majukumu yao na kuwataka raia kushirikiana nao.
Imetayrishwa na Maureen Mukhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































